Mwalimu ;” wewe john unacheka nini?”
John ; “mwalimu Umekaa vibaya nimeona mapaja yako ”
Mwalimu na Wanafunzi!!
Mwalimu ; “huna adabu wewe toka nje nisikuone mpaka kesho”
Mwalimu ; “na wewe Michael unacheka nini??”
Michael; “mwalimu nimeona kamba ya bikini yako”
Mwalimu ;”shenzi wewe toka nisikuone mpaka next week”
Mwalimu ; “na wewe Jose vipi??”
Jose ; “mwalimu nimeona tattoo yako”
Mwalimu ;”hii mitoto, toka nisikuone mpaka mwezi ujao”
Mwalimu ; “na wewe Eric unaenda wapi sasa???”
Eric; “nilichokiona mwalimu nadhani nimefukuzwa shule kabisa.”
***************************************
Jamaa alikaa masaa 4 akiangalia cheti chake cha ndoa, mkewe akamuuliza “mume wangu vipi umekumbuka siku yetu ya ndoa?
Mumewe akamjibu ” NATAFUTA EXPIRE DATE SIIONI”!!!
Mumewe akamjibu ” NATAFUTA EXPIRE DATE SIIONI”!!!
****************************************
Mama mjamzito kakutana na Dokta aliyegoma;
MAMA: Dokta mtoto hachezi tumboni toka juzi
DOKTA:Meza mpira wa kitenisi na filimbi, ukiona bado hachezi, meza kadi nyekundu atoke nje sawa?
MAMA: Dokta mtoto hachezi tumboni toka juzi
DOKTA:Meza mpira wa kitenisi na filimbi, ukiona bado hachezi, meza kadi nyekundu atoke nje sawa?
***************************************
Ticha: Wanafunzi wangu wazuri leo mwalimu mkuu amesema tuongee tupeane mawazo namna ya kuiweka shule yetu iwe safi. Haya nani ana mawazo?
Joni: Mwalimu tusiwe tunakuja na mifuko ya plastiki
Ticha ;Safiiiii, ehe Juma,
Juma: Tuwe na siku moja ya kufagia kila wiki
Ticha: Safi sana, ehe Devi
Devi: Wote tuache kuja shule itakuwa safi kila siku
Joni: Mwalimu tusiwe tunakuja na mifuko ya plastiki
Ticha ;Safiiiii, ehe Juma,
Juma: Tuwe na siku moja ya kufagia kila wiki
Ticha: Safi sana, ehe Devi
Devi: Wote tuache kuja shule itakuwa safi kila siku
****************************
Baada ya MAHUBIRI MCHUNGAJI anawaambia waumini wafumbe macho…..akainama na kuingiza mkono kwenye kapu la sadaka na kuiba hela….kuinua kichwa akakutana macho kwa macho na mzee aliyekuwa anaingia……MCHUNGAJI AKASEMA “HERI YAKE YULE ASIYESEMA KUHUSU YALE ALIYOYASHUHUDIA KWA MACHO YAKE, mzee nae akamalizia “MAANA ATAPATA MGAO WAKE BAADA YA MISA KUISHA’